Nenda kwa yaliyomo

Homo neanderthalensis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Neanderthal)
Homo neanderthalensis
Sanamu ya mwanamume katika makumbusho
Sanamu ya mwanamume katika makumbusho
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Familia ya juu: Hominoidea (Wanaofanana zaidi na binadamu)
Familia: Hominidae (Walio karibu na binadamu kimaumbile)
Nusufamilia: Homininae
Kabila: Hominini
Jenasi: Homo
Linnaeus, 1758
Spishi: H. neanderthalensis
King, 1864

Homo neanderthalensis alikuwa kiumbehai wa jamii ya binadamu (Hominidae). Pengine spishi hii inachukuliwa kama nususpishi (kwa jina la Homo sapiens neanderthalensis). Utafiti wa DNA umeonyesha walifanana na binadamu wa leo kwa asilimia 99.7. Wote wawili wana chembeuzi 46, tofauti na sokwe ambao wanazo 48.

Walienea katika Mashariki ya Kati, Ulaya Magharibi na kusini hadi Asia ya Kati.

Kabla hawajatoweka miaka 40,000 iliyopita, waliweza kuzaliana na Homo sapiens[1] baada ya huyo kutoka nje ya Afrika na hivi kurithisha sehemu ya jeni zao[2] kwa binadamu wote wa leo, hasa wasio wa Kusini kwa Sahara[3].

Familia ya Homo neanderthalensis katika Ufaransa wa leo.
  1. ↑ Daniel Harris; Alexander Platt; Matthew E.B. Hansen; Shaohua Fan; Michael A. McQuillan; Thomas Nyambo; Sununguko Wata Mpoloka; Gaonyadiwe George Mokone; Gurja Belay; Charles Fokunang; Alfred K. Njamnshi; Sarah A. Tishkoff (2023). "Diverse African genomes reveal selection on ancient modern human introgressions in Neanderthals". Current Biology. 33 (22): 4905–4916.e5. doi:10.1016/j.cub.2023.09.066. ISSN 0960-9822. PMC 10841429. PMID 37837965.
  2. ↑ Vernot, B.; Akey, J. M. (2014). "Resurrecting surviving Neandertal lineages from modern human genomes". Science. 343 (6174): 1017–1021. Bibcode:2014Sci...343.1017V. doi:10.1126/science.1245938. PMID 24476670. S2CID 23003860.
  3. ↑ Chen, L.; Wolf, A. B.; Fu, W.; Akey, J. M. (2020). "Identifying and Interpreting Apparent Neanderthal Ancestry in African Individuals". Cell. 180 (4): 677–687.e16. doi:10.1016/j.cell.2020.01.012. PMC 12805117. PMID 32004458. S2CID 210955842.

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Homo neanderthalensis kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.