Nenda kwa yaliyomo

Martin Meredith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Martin Meredith (alizaliwa 1942) ni mwanahistoria, mwandishi wa habari, na mwandishi wa vitabu vya maisha ya watu maarufu. Ameandika vitabu kadhaa kuhusu Afrika na historia yake ya kisasa.[1]

  1. "Martin Meredith on Perseus Books". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Januari 2006. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2008.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Meredith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.