Meja
Mandhari

Meja (kwa Kiingereza: Major) ni cheo cha afisa wa jeshi kilicho chini ya Luteni Kanali na juu ya Kapteni au Nahodha katika jeshi la wanamaji.[1]
| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
| Vyeo vya kijeshi - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Jenerali * Luteni Jenerali * Meja Jenerali * Brigedia * Kanali * Luteni Kanali * Meja * Kapteni * Luteni * Luteni-usu Afisa Mteule Daraja la Kwanza * Afisa Mteule Daraja la Pili * Sajinitaji * Sajenti * Koplo * Koplo-usu | ||
- ↑ "Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania". www.tpdf.mil.tz. Iliwekwa mnamo 2024-05-25.