Sara
Mandhari



Sara (kwa Kiebrania שָׂרָה, Śārā, awali Sarai) katika Biblia anajulikana kama mke tasa wa Abrahamu ambaye kwa imani katika ukongwe wake alijaliwa kumzaa Isaka, baba wa Israeli, taifa teule la Mungu. Habari hizo zinapatikana hasa katika kitabu cha Mwanzo.
Jina lake linamaanisha mwanamke wa ukoo bora.
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Katika Agano Jipya
[hariri | hariri chanzo]Waraka wa kwanza wa Petro unamsifu Sara kwa kumtii mumewe[1]
Waraka kwa Waebrania unamsifu kwa imani yake.[2]
Mtume Paulo anamtaja katika nyaraka zake kwa Wagalatia[3] na kwa Warumi[4] katika kueleza tofauti kati ya Agano la Kale na Agano Jipya.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sara kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |