Wayaka
Mandhari
Wayaka ni kabila la watu wanaoishi hasa katika kusini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, karibu na mpaka wa Angola. Wanakadiriwa kuwa 300,000 hivi.
Lugha yao ni Kiyaka, ambayo ni kati ya lugha za Kibantu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wayaka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |